Siku ya pili ya Mkutano kitaifa wa kujadili kuhusu upatikanaji wa Nishati nchini ambapo mgeni rasmi ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud.
Mkutano huu ulianza siku ya tarehe 20 September mwaka huu ambapo Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ambapo alisema endapo kama nchi tukiwa na nishati ya kutosha basi tunaweza kuuza kwa nchi jirani zinazo tuzunguka.