Michezo

PICHA: Liverpool walivyosherehekea Ubingwa wa EPL 2019/20

on

Club ya Liverpool baada ya mchezo wao dhidi ya Chelsea uliyomalizika kwa wao kupata ushindi wa 5-3 katika uwanja wao wa Anfield, walikabidhiwa Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu England 2019/20.

Soma na hizi

Tupia Comments