Habari za Mastaa

PICHA: Mastaa mbali mbali kwenye NBA All Star 2020

on

Usiku wa February 16 huko Chicago Marekani ulichezwa mchezo wa NBA All Star ambapo Mastaa wengi walihudhuria wakiwemo DJ Khaleed, Chadwick Boseman “Black Panther”, Jenniffer Hudson, Cardi B, Offset, 2 Chainz, Kanye West, Kim Kardashian, Spike Lee na wengine.

Hizi hapa chini ni Picha za baadhi ya Mastaa waliohudhuria kwenye mchezo huo.

Soma na hizi

Tupia Comments