Habari za Mastaa

PICHA: Matukio tofauti tofauti kutoka kwenye show ya Nandy Dodoma

on

Usiku wa kuamkia Jully 13, 2020 ilifanyika show ya msanii Nandy ambayo ilikuwa na Surprise kibao kutoka kwa wasanii wengine na viongozi mbali mbali akiwemo Waziri Mwakyembe, RC Makonda, na wasanii Moni Cetrozone, Billnass, Harmonize na Madee.

Hizi ni picha zikikuonesha baadhi ya matukio yalitokea usiku wa Jana kwenye show ya Nandy.

 

Soma na hizi

Tupia Comments