Michezo

PICHA: Mazishi ya Mke wa mchezaji wa Azam FC

on

Mazishi ya mke wa mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na club ya Azam FC Agrey Morisyamefanyika leo  Kitunda Mwanagati na kuhuduliwa na watu mbalimbali wakiwemo wachezaji wa Azam FC, mke wa Moris ajulikanae kwa jina la Asteria alifariki jioni ya January 10 2020 akiwa katika harakati za kujifungua.

VIDEO: KUMLAUMU AISHI MANULA NI KUMKOSEA HESHIMA BALAMA WA YANGA

Soma na hizi

Tupia Comments