Michezo

Picha: Mbunge Salim, Mwana FA na Haji Manara fainali ya Suluhu Cup 2021

on

Leo July 3 2021 ndio ilikuwa fainali ya michuano ya Suluhu Cup iliyokuwa inaendelea katika jimbo la Gando visiwani Pemba, michuano hiyo iliyohudhuliwa na Mbunge wa Muheza @mwanafa na msemaji wa Simba @hajismanara ilikuwa imeandaliwa na Mbunge wa jimbo hilo Salim Mussa Omar.

Mshindi wa kwanza Gando amepewa Kombe na zawadi ya Tsh milioni 7 huku wa pili Kizimbani B akipewa zawadi ya Tsh milioni 4, nafasi ya tatu Kizimbani Tsh milioni 3.

Michuano ya Suluhu Cup imeanzishwa kwa lengo la kuleta hamasa kwa Vijana wa Gando kuendeleza Vipaji lakini zaidi kuleta Suluhu juu tofauti zao za kisiasa na kuwafanya kuwa kitu kimoja.


Soma na hizi

Tupia Comments