Michezo

PICHA: Meddie Kagere awasili nchini Tanzania

on

Club ya Simba SC imetangaza rasmi mshambuliaji wao Meddie Kagere raia wa Rwanda kuwa amerejea nchini na kesho May 27 2020 ataungana na wenzake kambini kwa ajili ya maandalizi ya muendelezo wa mechi za Ligi Kuu Tanzania bara 2019/20 ambayo ilisimama sababu ya Corona.

Soma na hizi

Tupia Comments