Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories

Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake

March 26, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Ni Machi 26, 2023 ambapo Millardayo.com & Ayo TV inakukunisha na stori ya Mfugaji Mariam Mwipasya ambae ni Mkazi wa Isanu Wilaya ya Busokelo Mkoani Mbeya.

Ambae amefunguka yale tusiyoyajua kuhusu Ufugaji wake mpaka namna alivyopata faida alipoanza kufanya kazi na Kampuni ya Asas.

“Nimefuga Ngombe kwa muda mrefu na Mwanzo tulikuwa tunashida ya Maziwa tulikuwa tunashindwa sehemu yakuyauza maziwa tulikuwa tunayapeleka Ipinda na kuyamwaga maziwa yalikuwa hayafanyi vizuri”- Mariam Mwipasya

‘Kindoo tulikuwa tunauza Elfu 5 ama Elfu mbili lakini kwasasa tulivyoanza kufanya kazi na Asas tunapata faida kubwa na tunafuga Ng’ombe kwa faida tunajua kila tarehe 15 tuna hela kwani kwa Mwezi tunapata mara mbili sasa tunamshukuru sana Ahmed kwa kutupatia mitaji ya kufanya kazi vizuri na kufunga kwa tija”- Mariam Mwipasya

“Kila tarehe 15 sipungukiwi kupata laki tatu na tarehe 30 hivyo hivyo kwa mwezi napata laki saba mpaka laki nane, Namshukuru sana Asas nashukuru sana  Ahmed kwa kutukumbuka sisi wafugaji na kupitia Kampuni yake imefanikisha na mimi kujenga Nyumba ambayo kwa hapa ilipofika ni hatua kubwa sana”-  Mariam Mwipasya

“Ufugaji unafaida kubwa sana pamoja na kusaidia familia yangu hususani watoto wanaenda Shule ni jambo la heri la kutuinua sisi kiukweli asante sana Asas kwa kutukomboa sisi wafugaji maisha yanaendelea”- Mariam Mwipasya

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

Edwin TZA March 26, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
Next Article Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?