Habari za Mastaa

Picha Mpya ya mtoto wa Alikiba, wameandika haya na mkewe

on

Mwimbaji wa Bongo Fleva Alikiba ametuonesha picha mpya ya mtoto wake Keyaan aliyezaa na mke wake Amina ikiwa leo anatimiza mwaka mmoja toka azaliwe.

Alikiba na Amina wamemuwish mtoto wao heri ya siku ya kuzaliwa kwa kumpost kwenye kurasa zao A Instagram na kuandika ujumbe tofauti tofuati.

BONYEZA KUTAZAMA VIDEO YA SHILOLE AKIGARAGARA CHINI KAMA MTOTO AKISEMA ‘MNIUWE

 

Soma na hizi

Tupia Comments