Michezo

PICHA: Muonekano wa ndege binafsi ya boss wa Chelsea

on

Mmiliki wa club ya Chelsea Bilionea wa Kirusi Roman Abromavich ana mililiki ndege binafsi ya Luxury (Boeing 747-33A ER) yenye thamani ya pound milioni 400 (Tsh trilioni 1.1).

Thamani ya ndege ambayo mwenyewe ameipa jina la The Brandit imeongezeka kutokana na namna ilivyopambwa na ndani ikiwekwa kama nyumba ya kifahari ya kuishi mtu.

Soma na hizi

Tupia Comments