Habari za Mastaa

Picha: Muonekano wa Ukumbi utakaofanyika shughuli za Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Arusha

on

NI April 28, 2022 ambapo leo utafanyika uzinduzi wa filamu ya Royal Tour mkoani Arusha.

Hapa nimekusogezea picha kutoka katika ukumbi wa mikutano cha kimataifa cha AICC ushuhudie kinachojiri.

Uzinduzi huo unatarajiwa kuanzia saa chache zijazo ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wadau wa Sekta ya Utalii watahudhuria.

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

LIVE: RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA BAADA YA KUTOKEA NCHINI MAREKANI, RC AFUNGUKA MBELE YAKE ‘SHUJAA WETU’

Tupia Comments