Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha: Mwana FA akikabidhi Milioni 10 Kwa Yanga SC, “ahadi ya Rais Samia”
Share
Notification Show More
Latest News
Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Picha: Mwana FA akikabidhi Milioni 10 Kwa Yanga SC, “ahadi ya Rais Samia”
Sports

Picha: Mwana FA akikabidhi Milioni 10 Kwa Yanga SC, “ahadi ya Rais Samia”

March 8, 2023
Share
1 Min Read
.
SHARE

Ni Machi 8, 2023 ambapo umechezwa mchezi wa Yanga SC dhidi ya Real Bamako huku Yanga kuibuka ushindi wa magoli mawili dhidi ya Mechi hiyo.

Mchezo huo ulichezwa katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Na kama utakuwa unakumbuka Mheshimiwa Rais Samia alisema itakuwa mwendelezo wa ahadi endapo Yanga ama Simba wakifanikiwa kushinda goli moja katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika basi atatoa Milioni 5 kwa kila goli ni kama kutia motisha kwa timu kuendelea kufanya vizuri uwanjani.

Sasa ikiwa leo Yanga SC imeshinda magoli mawili dhidi ya Real Bamako na hapa chini nakusogezea picha utashuhudia Naibu Waziri Hamis Mwinjuma aka Mwana FA akikadhi Yanga SC Milioni 10 ikiwa kama kutekeleza ahadi ya Mheshimiwa Rais Samia.

.
.
.
.

You Might Also Like

Nimekuwekea Ratiba ya Mechi za Championship League, mtanange ni mkali

Kutokea China: Silent Ocean wametuonyesha namna wanavyopakia Mizigo ya Wafanyabiashara kuelekea Tanzania

Silent Ocean ‘Simba wa Bahari’, wametuonesha kila namna walivyompitisha mteja mpaka kufanikisha kile alichokihitaji

PICHA: GSM FC wazindua jezi mpya Ramadhan Cup

Kocha Mkuu wa Taifa Stars awaita kikosini wachezaji hawa wawili wa Simba SC

Edwin TZA March 8, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais Samia asema kwenye Kongamano la Wanawake wa CHADEMA, “Kiuchumi tuko vizuri”
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 9, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Top Stories April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

April 1, 2023
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?