Ni msanii wa kike kutokea Bongo Flevani, Mwasiti ambae ameshiriki zoezi la Usafi fukwe za Bahari maarufu Mbalamwezi iliyopo Mikocheni Dar es Salaam.

“Hivyo nasisitiza watu kutunza Mazingira katika hali ya usafi na Salama kwaajili ya wengineo na zoezi hili ni endelevu sio tu kwa leo”- Mwasiti
