Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata Mashariki kwenye Mkutano wa hadhara na Wananchi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ikiwa ni Siku ya kwanza ya ziara Mkoani humo leo February 23, 2025.