Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha: Rosa Ree atambulisha jina la album yake mbele ya waandishi wa habari
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Picha: Rosa Ree atambulisha jina la album yake mbele ya waandishi wa habari
Entertainment

Picha: Rosa Ree atambulisha jina la album yake mbele ya waandishi wa habari

November 25, 2022
Share
1 Min Read
.
SHARE

Msanii wa Hip Hop Rosa Ree amefunguka kwa waandishi wa Habari leo hi kuhusu uzinduzi wa Album yake unaotarajiwa kufanyika siku ya kesho maeneo ya masaki ambapo album hiyo imepewa jina la Goddess ikiwa na nyimbo 17 zenye kolabo tofauti tofuati

Katika Album hii Rosa Ree amesema ni album iliyomzungumzia Maisha yake kwa asilimia zote katika namna tofuati tofuati ambapo sehemu kubwa amemuongelea Rosa anayefahamika na yule asiyefahamika kwa watu

Mengine aliyoongea Rosa ni Pamoja na yeye kuwa single huku akikapata kigugumizi cha kukiri kama ni kweli ana mtoto au hana baada ya kuulizwa na waandishi wa Habari hivyo akabaki kusema ‘Nimepitia mengi, Ila niko single tena single kama single, nimepigwa matukio ya kutosha” – Rosa Ree

.
.
.
.
.
.

You Might Also Like

Billnass katuletea hii video mpya ya ‘Puuh’ akiwa na Jay Melody itazame hapa

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa The After Party ya Marioo Elements Bar Masaki

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’

The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

Edwin TZA November 25, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Video: Ukakamavu wa Jeshi la Kenya, ndege za kivita, mbinu za kupambana na adui
Next Article Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ya Mafuta na Gesi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?