Wasanii wa Filamu nchini Tanzania, wameanza safari ya kutoka Dar es Salaam hadi Mbeya kwa ajili ya kushiriki tuzo za kwanza zilizoandaliwa na Serikali zitakazofanyika Disemba 18, 2021.
Katika tuzo hizo za kwanza kutolewa na Serikali huku viongozi wa Kiserikali wakitarajiwa kuwepo, miongoni mwa wasanii waliosafiri kwa kutumia Treni ni JB, Mzee Chillo, Dokii na Dude.