Michezo

PICHA: Simba SC yafungua tawi bungeni “Wekundu wa Mjengoni”

on

Club ya Simba SC leo imekuwa club ya kwanza ya soka Tanzania kufungua tawi la Simba Bungeni (Wekundu wa Mjengoni), tawi hilo limezinduliwa na Spika wa Bunge Job Ndugai akiambatana na naibu Spika Dr Tulia Ackson ambao wote ni mashabiki wa Simba.

VIDEO: RAHA ILIYOJE !!! BABA MZAZI WA SAMATTA, HAKULALA ANACHEZA MUZIKU UTAMBULISHO WA ASTON VILLA

Soma na hizi

Tupia Comments