Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Hashim Mgandilwa amesema kuwa lengo la Tanga Utalii Festival sio tu kutangaza Utalii tu bali pia ni kuboresha afya za Wananchi hususa ni kwenye swala zima la kufanya Mazoezi.
Aidha amesema kuwa siku ya leo ndio siku pekee ya burudani kwani Tanga ni moja kati ya maeneo ambayo yana Vivutio vingi vya Utalii ambavyo bado havijatangazwa na hivyo kutokana na Tamasha hili litasaidia sana katika kutangaza Vivutio vya Asili ambavyo vilikuwa vinatumiwa na wazee wetu Mkoani Tanga.
MARIOO ATUA MWANZA, TAZAMA ALIVYOKARIBISHWA KWA SHANGWE