Mix

PICHA: Uzinduzi duka la Antonio Nugaz “Mr Punguzo”

on

Aliyekuwa afisa muhamasishaji wa Yanga SC Antonio Nugaz leo amezindua brand ya duka lake la Mr Punguzo na kuweka wazi mkakati wake baada ya kuondoka Yanga SC.

Nugaz amezindua duka hilo lililopo Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam karibu na Lango la Jiji na kueleza kuwa litakuwa linauza manukato na jezi kwa gharama nafuu zaidi kuliko mahali kwingine popote.

Soma na hizi

Tupia Comments