Mix

PICHA & VIDEO: Nape Nnauye alipoingia mwenyewe Kariakoo kukagua kazi feki

on

Leo Feburuary 17 2016 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye amefanya ziara ya kushtukiza kwenye Maduka ya CD Kariakoo Dar es salaam kuangalia wanaosambaza kazi feki za Wasanii ambapo baada ya kukagua ameongea na AyoTV kueleza kila kitu kwenye video ambayo iko chini ya hizi picha.

Hii video hapa chini inayo maelezo yote aliyoyasema Nape Nnauye kuhusu ziara yake ya kushtukiza leo Kariakoo

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments