Michezo

Picha/Video:Simba SC wazindua Simba APP mbele ya waandishi wa habari

on

NI Agosti 26, 2021 ambapo Msemaji wa klabu ya Simba SC, Ezekiel Kamwaga amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia SIMBA APP ambayo  itamuwezesha Mwanachama ama Shabiki kupata taarifa kwa wakati.

Akizungumza katika mkutano huo alisema...”Leo tunafanya mapinduzi ya kidigitali, tumeamua kuwa Club ya kwanza Tanzania, tumezindua SIMBA APP ambayo ni Jukwaa la kidigitali kazi yake kubwa kuhakikisha Wanachama na Mashabiki wa Simba wanapata taarifa kwa wakati na wawe karibu na Club yao”-Ezekiel Kamwaga

.

.

SIMBA SPORTS YAZUNGUMZA NA WAANDISHI, MSEMAJI AFUNGUKA

Soma na hizi

Tupia Comments