Ni April 14, 2023 ambapo Kampuni ya GSM iliandaa iftar na kuwaalika wadau wao pamoja na Viongozi wa Serikali.
Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa The Super Dome uliopo Masaki jijini Dar es Salaam huku mgeni rasmi akiwa ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azan Zungu.
Millardayo.com imekusogezea picha kadhaa ushuhudie Viongozi wa Serikali walivyoshiriki katika hafla hiyo.