Habari za Mastaa

Picha: Wasanii wa Filamu wawasili Arusha, kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa filamu ‘Royal Tour’

on

Kuelekea Uzinduzi ya Filamu ya Tanzania Royal Tour Mastaa wa Bongomovie wa wakiongozwa na Steve Nyerere, Wema Sepetu, na Mwijaku wameandamana maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa filamu hiyo.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

 

VIDEO MWANZO MWISHO BASI LA WANA KWAYA NA LORI ZILIVYOGONGANA MKOANI NJOMBE, POLISI AELEZA CHANZO

Tupia Comments