Habari za Mastaa

Picha: Waziri akutana na Wasanii ‘Lengo kufanya mapinduzi katika tasnia ya Filamu’

on

Leo April 9 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amefanya ziara katika chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Kwa kuwapeleka waongozaji wa Video kutokea India na Marekani Kwa lengo la kufanya mapinduzi katika tasnia ya filamu.

Baada ya hapo Waziri Mchengerwa amewakutanisha waandaaji hao na baadhi ya Wasanii na waandaaji wa Filamu wa hapa Tanzania ambao ni Ray Kigosi, JB, Chuchu Hans, Monalisa, Duma, Yusuph Mlela na wengine.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika mkutano huo.

.

.

.

.

.

.

Tupia Comments