Habari za Mastaa

PICHA: Weusi wakiwa kwenye pozi la pamoja na watoto wao

on

Kutana na picha ya pamoja ya wasanii wanaounda kundi la Weusi ambao ni Gnako Warawara, Nikki wa Pili na Joh Makini wakiwa na watoto wao ambao Nikki mtoto wake anaitwa Zury, Gnako mwanae anaitwa Gianna huku mtoto wa Joh Makini akiitwa King.

Picha hiyo imepostiwa kwenye ukurasa wa msanii Nikki wa Pili Na kuandikwa caption iliyosemeka..>>>”Wakiuliza baba weusi ni nini, tunawaambia weusi ni upendo, ukawaunganishe na nyie pia

..Upendo wa familia ndio upendo mkuu @johmakinitz @gnakowarawara , Weusi love/family love, King, zuri and Gana”

MSANII ROSA REE KAFUNGUKA ANAVYOKERWA NA HAYA YANAYOENDELEA KWA WASANII

Soma na hizi

Tupia Comments