Habari za Mastaa

PICHA: Wolper katuonesha sura ya mtoto wake, apewa dili hili

on

Ni Mwigizaji Star Jacquline Wolper ambapo Septemba 16, 2021 ameungana na mzazi mwenzake Rich Mitindo kutangaza ubalozi mpya alioupata mtoto wao.

Mtoto wao amepata ubalozi wa Duka la Sweetlorah linalojihusisha na uuzaji wa vitu vya watoto kama Nguo, Viatu na vitu vingine.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye utambulisho hilo.

.

.

.

.

.

.

.

.

EXCLUSIVE: WOLPER AONESHA SURA YA MTOTO WAKE KWA MARA YA KWANZA, APEWA DILI NENE LA UBALOZI

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments