Picha za mastaa wa Man United wakiwa na Diego Maradona Dubai
Share
0 Min Read
SHARE
Gwiji wa soka ulimwenguni Diego Maradona amewatembelea mastaa wa Manchester United waliopo huko Dubai kwenye mazoezi maalum. Diego amekutana na wachezaji kadhaa wa United na kupiga nao picha akiwemo Van Persie, Juan Mata, Chicharito, Ashley Young, na David De Gea.