Mix

PICHA 12: Mwili wa marehemu Dogo Mfaume umezikwa leo DSM

on

May 17, 2017 muziki wa mnanda ulipata msiba baada ya kuondokewa na Dogo Mfaume aliepata umaarufu sana kutoka na ‘kazi ya dukani’ , mauti yalimkuta akiwa kwenye hospitali ya taifa Muhimbili akijiandaa kufanyiwa upasuaji kichwani ambapo amezikwa leo May 19 Chanika Dar es salaam.

 

ULIKOSA ALICHOKIELEZA MAN WATER KUHUSU ALIVYOKUTANA NA DOGO MFAUME? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments