Michezo

PICHA 6: Mapokezi ya Yanga Airport DSM baada ya kuwasili na Kombe la VPL

on

May 20 2017 club ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Mbao FC katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na kupoteza kwa goli 1-0 lakini Yanga walitangazwa Mabingwa wa VPL baada ya kumalizika kwa Ligi.

Hii video hapa chini ina maelezo yote ya Alfred Lucas kuhusu Issa kurudishwa Tanzania

Soma na hizi

Tupia Comments