Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 15: Jay Z na Beyonce walivyovalia Kiafrika kwenye party
Share
Notification Show More
Latest News
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA 15: Jay Z na Beyonce walivyovalia Kiafrika kwenye party
Mix

PICHA 15: Jay Z na Beyonce walivyovalia Kiafrika kwenye party

June 10, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mastaa wa dunia Jay Z (47 yrs) na mke wake Beyonce (35) wameichukua trend tena baada ya kutokelezea kwenye picha za pamoja wakiwa wamevalia kiafrika.

Beyonce ambaye anatarajia watoto mapacha aliwaalika watu mbalimbali kwenye ‘baby shower‘ waliyoipa jina la ‘Curter Push Party‘ iliyohudhuriwa pia na watu mbalimbali maarufu wakiwemo Serena Williams, Tina Knowles ( Mama Beyonce), La La Anthony, Vanessa Bayer na Kelly Rowland.

Ni party ambayo watu walivalia kiafrika zaidi na hata burudani zilizokua zikitolewa ngoma ilihusishwa huku Jay Z pamoja na kuvalia lakini pia ‘alitundika’ ramani ya Afrika kifuani.

VIDEO: Jay Z wa bongo hakujua Jay Z ni nani, alichukia…. play hii video hapa chini kumtazama mwanzo mwisho..

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: picha
Admin June 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article #BREAKING: Wanafunzi wengine watatu wamepoteza maisha leo Geita
Next Article Visa vya Ubaguzi wa rangi vilivyowahi kunaswa LIVE Uwanjani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

February 3, 2023
Top Stories

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

February 2, 2023
Top Stories

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

February 2, 2023
Top Stories

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?