Habari za Mastaa

Picha:Alikiba alivyozindua cover ya album yake mpya mbele ya waandishi

on

Mwimbaji Star wa Bongofleva Alikiba leo amezindua cover ya Album yake mpya inayotarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 7 ya mwezi Oct mwaka huu

Album hiyo imepewa jina la Only One King ambayo ni album ya 3 kwa Alikiba ikiwa ni baada ya album mbili alizozitoa miaka zaidi ya 10 iliyopita

Alikiba ameahidi kutaja nyimbo zitakazopatikana katika album hiyo siku zijazo kabla ya uzinduzi.

.

.

.

.

.

ALIKIBA ALIVYOFIKA NA GARI LA KIFAHARI, AONESHA MBWEMBWE ZAKE MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

MAHABA YA ALIKIBA KWA WEMA SEPETU, AMUIMBIA LIVE HAPPY BIRTHDAY MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

KUJIUZULU KWA MO DEWJI, EDO KUMWEMBE AMTETEA, HAJI MANARA NA MPOKI WATIA NENO

Soma na hizi

Tupia Comments