Habari za Mastaa

PICHA:Bata la Treni iliyobeba Mashabiki kuelekea Kigoma kushuhudia Yanga na Simba

on

Ni Night Club iliyotengenezwa ndani ya Treni iliyobeba Mashabiki wa Simba na Yanga kuelekea Kigoma,sasa hapa nimekusogezea picha ushuhudie zikionesha shangwe la mashabiki wakiwa kwenye Treni.
Mashabiki hawa watarudi Dar na Treni hii siku ya Jumapili, huu ni mchongo ulioandaliwa na CLOUDS MEDIA GROUP kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania na hii sio mara ya kwanza kwa Clouds kufanikisha bata la kwenye Treni.
Kigoma na Dar ni KM 1444 za barabara kwa mujibu wa google lakini kwa hili bata ndani ya Treni, hakuna ataeboreka.

.

.

.

.

NOMA!!VIBE LA GNAKO DISCO NDANI YA TRENI KUELEKEA KIGOMA

SEHEMU YA PILI: JALANGO ASIMULIA ALIYOWAHI KUPITIA NA DIAMOND, ILI AWE MC UTAMLIPA MILIONI 10

 

JUMA NATURE ASHANGAZWA TRENI KUWA NA DISCO “MAAJABU MZIKI UNALIA NDANI TUNACHANA”

Soma na hizi

Tupia Comments