Michezo

Picha:CAS yamaliza kusikiliza kesi ya rufaa Yanga SC dhidi ya Morrison

on

Mahakama ya kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) leo imemaliza kusikiliza kesi ya rufaa ya club ya Yanga dhidi ya Bernard Morrison.

Mara baada ya kumalizika kusikilizwa kwa kesi hiyo, ambayo ilikuwa inamtuhumu Morrsion kujiunga na Simba SC huku akiwa na mkataba Yanga SC, CAS itatoa uamuzi kwa mujibu wa taratibu zake kuanzia sasa mpaka 24/08/2021.

TAZAMA SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA, WAMBEBA MORRISON JUUJUU AIPORT DSM

Tupia Comments