Habari za Mastaa

Pichaz za historia nyingine ya Weusi Arusha kwenye show ya funga mwaka.

on

.

.

Kampuni ya Weusi ambayo ina wasanii mastaa kama Joh Makini, Nikki wa pili, Lord Eyez, Bonta na G Nako Nov 1 2014 waliacha historia nyingine  87.9 Arusha kwenye show ya funga mwaka iliyofanyika Triple A.

Kwenye hii time Weusi walisindikizwa kwenye stage na wakali kama Navy Kenzo (Aika na Nahreel,Vanessa Mdee (VeeMoney),Jambo Squad, Ambwene Yessaya Ay na Ben Pol.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Tupia Comments