Michezo

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa DSM

on

Ni Septembe 19, 2021 ambapo Simba SC imefanya kilele cha wiki yaani Simba DAY, hizi ni baadhi ya picha kutoka uwanja wa Benjamin Mkapa mahali palipofanyika shamra shamra  hizo huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wiki na inaelezwa mpaka sasa tiketi zimeuzwa zote.

Hapa nimekusogezea baadhi ya picha kutokea Uwanja mahali panapofanyika tukio hilo la Simba DAY.

.

.

.

.

.

.

.

.

SHABIKI WA SIMBA KATOKA SANYA JUU MOSHI, MAMA KABEBA MTOTO “LAZIMA WAPIGWE”

SPIKA WA BUNGE NDUGAI ALIVYOINGIA UWANJA MKAPA KWENYE SIMBA DAY

Soma na hizi

Tupia Comments