Ni Desemba 11, 2021 ambapo kipindi cha XXL cha Clouds FM kimekutanisha wanafunzi katika tamasha liitwalo Xtra Uni Bash ambapo linafanyika Jangwani Sea Breezy Mbezi Beach Dar es Salaam.
WATANZANIA WANAOFANANA NA BURNA BOY, SOUDY BROWN, WAJITOKEZA, MCHOMVU AWAPA MAKAVU JUKWAANI