Top Stories

Picha:Mbunge Jerry Silaa alivyoondolewa Bungeni Dodoma

on

Baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge Emmanuel Mwakasaka kutoa ripoti ya Kamati hiyo kuhusu hatia walizokutwa nazo Wabunge Jerry Silaa na Josephat Gwajima, Spika Job Ndugai amemtoa Bungeni Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa.

“Gwajima hayupo, Silaa yupo sasa naomba Silaa utoke nje tutaonana January,2022 na Sajenti naomba mtoke nae nje ya viunga vya Bunge na katika kipindi hiki ambacho wamesimamishwa hawatoruhusiwa kukanyaga maeneo ya Bunge isipokuwa kwa ridhaa ya Spika na watapata nusu ya mshahara na nusu ya mambo mengine ambayo watastahili kuyapata hivyo ndivyo kanuni zinavyosema” ———Ndugai

.

.

.

.

.

.

.

.

.

MBUNGE JERRY SILAA HATIANI, KAMATI YASIMULIA ALIYOYAFANYA KWENYE MAHOJIANO YAO

MTANGAZAJI ASHIKILIWA MITUTU YA BUNDUKI HUKU AKIWA LIVE HUKO AFGHANISTAN “WATU NANE WAVAMIA”

MWANAMKE ACHARUKA KANISANI BAADA YA MUMEWE KUFUNGA NDOA YA PILI KIMYAKIMYA “ALETA VURUGU”

Soma na hizi

Tupia Comments