Top Stories

Picha:Muonekano mpya wa Daraja la Wami, RC Kunenge aneno haya

on

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kunenge 23 Mei, 2022 amekagua Daraja jipya la Wami.

Wakati akizungumza na Vyombo vya Habari amesema “ daraja hili linatarajiwa kukamilika mwishoni wa Mwezi Julai, Ujenzi wa daraja unakamilika kwa 91% na barabara takribani 80% Baada ya hapo wataenda kukarabati daraja la zamani kwa muda miezi mitatu na mradi wote daraja jipya na daraja la zamani utakamilika kufikia mwezi Novemba mwaka huu’- Kunenge

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Tupia Comments