Top Stories

Picha:Rais Samia aagana na Makamu wake kwenda nchini Marekani

on

 Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango katika Uwanja wa Ndege wa JNIA Jijini Dar es Salaam leo September 18,2021 kabla ya kuondoka kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la UN .

.

RAIS SAMIA KWENDA MAREKANI “ATALIHUTUBIA BARAZA LA UN”

Tupia Comments