Top Stories

Picha:Rais Samia akiwa amewasili Airport JINA kuipokea Ndege mpya

on

NI July 30, 2021 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tayari amewasili katika uwanja wa Airport DSM kwaajili ya kuipokea ndege mpya aina ya DASH 8- Q400 katika uwanja wa JNIA Dar es Salaam

.

.

.

LIVE: RAIS SAMIA ATINGA AIRPORT, TAYARI KUPOKEA NDEGE MPYA

Tupia Comments