Mix

Video: Hii ndio picha rasmi ya Rais Magufuli iliyotambulishwa leo

on

Siku 30 baada ya Serikali ya Tanzania kuzuia matumizi ya picha ya kwanza ya Rais Magufuli, Leo Jan 8 imetangaza rasmi inayotakiwa kutumika kwenye ofisi za Serikali na zile za binafsi, hapa nimekusogezea video yenye maelekezo yote muhimu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments