Michezo

Picha:Spika wa Bunge na Waziri Nishati ‘Simba day’ kwa Mkapa

on

NI Septemba 19, 2021 ambapo inafanyika kilele cha wiki ya Simba yaani Simba DAY katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Sasa miongoni waliohudhuria shamra shamra hizo ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai pamoja na Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba.

.

.

.

.

TAZAMA SHANGWE ALILOPATA MEJA KUNTA SIMBA DAY, HAPATOSHI

UWANJA UMEJAA, MASHABIKI WA SIMBA WAOMBA KUONGEZEWA UWANJA “NIMEKOSA NAFASI”

Soma na hizi

Tupia Comments