Habari za Mastaa

Pichaz 45 kutoka kwenye Tamasha la ‘siku ya Msanii’ ziko hapa tayari……..

on

.

.Pichani:Dr Chris Mauki na Jokate Mwegelo walikuwa washehereshaji wa Tamasha hilo kwenye Ukumbi wa Mlimani City uliopo Dar es Salaam.

Usiku wa Oct 25 kumefanyika tamasha kubwa la wasanii liitwalo SIKU YA MSANII,kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.Katika tamasha hilo lilipata mgeni rasmi ambaye alikuwa ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt  Mohammed Gharib Bilal.

Miongoni mwa wasanii waliotumbuza katika jukwani akiwemo,Diamond Platinumz,Yamoto Band,Isha Mashauzi,Kilimanjaro Band na mchekeshaji kutoka Kenya Eric Omondi.

Nimekuandalia picha mbalimbali hapa

.

.

Pichani:Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt  Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi Edward Said Tingatinga tuzo ya msanii aliyejitolea maisha yake yote katika Sanaa.

.

.

.

.

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Image00013

.

.

.

.

Image00017

.

.

Tupia Comments