Mix

Tarajia kuuona uwanja wa FC Barcelona katika muonekano huu 2021(+Pichaz)

on

Klabu ya FC  Barcelona ya Hispania ambayo imezoeleka kutumia uwanja wake wa Nou Camp, March 9 imetoa picha za muonekano wa uwanja wao utakavyokuwa kwa miaka minne ijayo. FC Barcelona wametoa pichaz ramani ya ujenzi wa uwanja huo ambao utajengwa kwa thamani ya Pound milioni 465.

320216F000000578-3483182-Work_to-m-21_1457485185176

Mabingwa hao wa Ulaya wamethibitisha kuwa mchora ramani na mbunifu wa Kijapan Nikken Sekkei ndio ameshimda tenda ya kufanya ukarabati wa uwanja huo hadi utakapokamilika 2021, ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 105000.

3202172E00000578-0-image-a-3_1457483059471

320216D400000578-0-image-a-2_1457483053598

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Tupia Comments