Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Nape Nnauye pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda wameungana na wakazi wa Dar wenye asili ya Hindi katika Maadhimisho ya siku ya Yoga Kitaifa katika viwanja vya Coco Beach.
Baada ya shughuli hiyo kumalizika Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Nape Nnauye aliyaongea haya ‘Mimi nimesoma India nimejifunza Yoga darasani ni moja kati ya vitu ambavyo vinawaleta watu kwa pamoja pia inasaidia kupunguza Stress na Yoga ni kama utamaduni wowote ambao unaweza ukajifunza‘
Pia Mkuuwa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alikuwa na haya yakuongea kuhusiana na Yoga ‘Ni mazoezi yamuhimu katika kuimarisha mwili pia nimewaomba next time tufanye mazoezi haya kwa kiswahili hili tuongeze wigo mkubwa‘
ULIMISS HAYA MAMBO MATATU YAKUFAHAMU BAADA YA PAUL MAKONDA KUKUTANA NA WAZIRI WA TAMISEMI ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI..
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
‘