Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha 15: Kutoka kwenye Maadhimisho ya Yoga Kitaifa Dar
Share
Notification Show More
Latest News
Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi
August 15, 2022
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
August 15, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Picha 15: Kutoka kwenye Maadhimisho ya Yoga Kitaifa Dar
Mix

Picha 15: Kutoka kwenye Maadhimisho ya Yoga Kitaifa Dar

June 19, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Nape Nnauye pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda wameungana na wakazi wa Dar wenye asili ya Hindi katika Maadhimisho ya siku ya Yoga Kitaifa katika viwanja vya Coco Beach.

Baada ya shughuli hiyo kumalizika Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Nape Nnauye aliyaongea haya ‘Mimi nimesoma India nimejifunza Yoga darasani ni moja kati ya vitu ambavyo vinawaleta watu kwa pamoja pia inasaidia kupunguza Stress na Yoga ni kama utamaduni wowote ambao unaweza ukajifunza‘

Pia Mkuuwa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alikuwa na haya yakuongea kuhusiana na Yoga ‘Ni mazoezi yamuhimu katika kuimarisha mwili pia nimewaomba next time tufanye mazoezi haya kwa kiswahili hili tuongeze wigo mkubwa‘

3X6A7164
Kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Nape Nnauye na RC makonda katikati

3X6A7183

3X6A7187

3X6A7196

3X6A7229

3X6A7230

3X6A7231

3X6A7233

3X6A7235

3X6A7284

3X6A7290

3X6A7298

3X6A7308

3X6A7314

ULIMISS HAYA MAMBO MATATU YAKUFAHAMU BAADA YA PAUL MAKONDA KUKUTANA NA WAZIRI WA TAMISEMI ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

‘

You Might Also Like

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam

Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu

TAGGED: Pichaz
Admin June 19, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Top 10: Videos zilizobamba bungeni wiki hii, vituko ndani yake
Next Article VIDEO: Kama ulisikia stori za Master Jay kurudi kwenye game
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi
Top Stories August 15, 2022
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
Top Stories August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
Top Stories August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
Sports August 15, 2022

You Might also Like

Sports

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

August 15, 2022
Sports

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

August 15, 2022
Sports

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

August 15, 2022
Sports

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?