Top Stories

Pikipiki ya umeme, ukichaji inakutoa Dar hadi Bagamoyo, inauzwa Milioni 6.4 (video+)

on

Dunia inabadilika, sio tena pikipiki zinazotumia mafuta bali gumzo la sasa ni pikipiki zinazotumia nishati ya umeme, betri inachajiwa kisha pikipiki inaingia barabarani, haiwashwi kwa kiki wala haina kelele hata tone… Madereva bodaboda wamepewa na wapeleka hesabu ya $40 sawa na elfu 90 Tsh. kwa wiki.

Soma na hizi

Tupia Comments