AyoTV

Video ya Dakika 5 za Mchekeshaji Mc Pilipili na utani wake kwa warembo wa bongo

on

March 12 2016 kulifanyika utoaji wa tuzo kwa wanawake, tuzo ambazo zimepewa jina la Malkia wa Nguvu ambazo ziliandaliwa na Clouds Media Group na kutolewa Dar es saalam, burudani pia ilichukua nafasi yake na mchekeshaji Mc Pilipili akaitwa kwenye stage…

Ilikupita hii ya Huyu jamaa akiigilizia sauti za Jakaya Kikwete na Rais Magufuli, kampatia nani zaidi? 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments