Habari za Mastaa

Pili Misana afunguka Paulina Zongo kwenye piombe “Alidanganya, akaondoka” (video+)

on

Mmiliki wa Sober House inayotumika kuwahifadhi na kuwasaidia Waraibu wa dawa za kulevya  aitwae Pili Misana amefunguka kuhusu taarifa za Mwimbaji Paulina Zongo kurudi kutumia pombe na mengineyo tusiyoyajua.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea hapa video kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi

Soma na hizi

Tupia Comments