AyoTV

VIDEO: Ma-MC wa harusi kuanza kulipa kodi, Mc Pilipili kayazungumza haya

on

May 18 2016 ziliripotiwa taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba Serikali inaandaa Muswada wa Sheria wa ndoa kulipiwa kodi ambapo utawataka washereheshaji ‘Ma-MC’, watoa huduma ya chakula kumbini, wapika keki na wenye kumbi kulipa kodi, Ayo TV imempata mmoja wa washereheshaji, MC Pilipili kuzungumza namna ambavyo amelipokea suala hilo.

Unaweza kutazama video hii hapa chini, pia usisahau kuniachia comment yako mkali huyu atapita hapa kuitazama

ULIIKOSA? ALIKIBA KAFIKA SOUTH AFRICA, MAMBO MAPYA 7 KUTANGAZWA 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments